Benki ya Dunia yatoa Bilioni tano kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi

NAIBU Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI anayeshughulikia Miundombinu, Rogatus Matavila, ameishukuru Benki ya Dunia kwa msaada wa kifedha na kitaaluma wa kukabiliana na changamoto za mabadiliko ya tabianchi. Akifungua kikao cha Kamati Kuu (National Steering Committee) ya Usimamizi wa Mradi wa Kujenga Ustahimilivu wa Changamoto za Mabadiliko ya Tabianchi katika Mamlaka za …