Mwalimu aliyekuwa akilima vibarua apata shavu la kimataifa!

Kuna wakati unafika unahisi dunia nzima imekugeuzia mgongo, hasa unapoona miaka inapita huku elimu yako haina faida. Mimi naitwa Joyce, mzaliwa wa mkoa wa Kilimanjaro. Licha ya kuwa na Shahada ya Ualimu niliyohitimu mwaka 2019, nilijikuta nikiishi maisha ya kudhalilika kwa miaka sita. Badala ya kushika chaki darasani, nilikuwa nashika jembe kulima bustani za majirani […] The post Mwalimu aliyekuwa akilima vibarua apata shavu la kimataifa! appeared first on Jambo TV Online .