KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeeleza kuridhishwa na maendeleo ya kazi ya uimarishaji wa mpaka wa kimataifa kati ya Tanzania na Kenya. Mwenyekiti wa kamati hiyo, Timotheo Mzava, amesema kuwa hadi sasa jumla ya kilometa 564 sawa na asilimia 75 ya mpaka wa nchi kavu tayari zimewekewa alama kati ya kilometa 758 za mpaka mzima. The post 75% mpaka Tanzania na Kenya wawekwa alama first appeared on HabariLeo .