Tiseza simamieni kongani BuzwagI

KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria imeelekeza Ofisi ya Rais – Mipango na Uwekezaji kuhakikisha Kongani Maalumu ya Uwekezaji ya Buzwagi (BSEZ) inakabidhiwa kwa Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalumu ya Kiuchumi Tanzania (TISEZA) ili isimamiwe ipasavyo. The post Tiseza simamieni kongani BuzwagI first appeared on HabariLeo .