MTWARA; WATAALAMU wa kilimo cha korosho nchini wameshauri wakulima kuanza kuandaa mashamba yao kwa kufuata hatua kuu tatu ili kuleta tija kwenye uzalishaji wa zao hilo. Akizungumza na waandishi wa habari mkoani Mtwara, Mtafiti na Mtaalamu wa Sayansi ya Udogo na Mimea kutoka Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Nchini (TARI) kituo cha Naliendele, Abdallah Makale … The post Wapewa somo uzalishaji korosho wenye tija first appeared on HabariLeo .