_Aagiza mradi ukamilike kwa wakati na ubora, asisitiza malipo kwa wafanyakazi wa mradi yafanyike kwa wakati_ _Awapongeza watumishi wa afya kwa weledi_ WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema mradi wa ujenzi wa jengo la huduma (Wing B) katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi lazima ukamilike kwa wakati na kwa ubora unaotakiwa. Akizungumza …