JUHUDI za kupanua ujumuishaji wa kifedha nchini Tanzania zinaendelea kuimarika huku serikali na wadau wa sekta ya fedha wakitafuta njia mbalimbali za kuwafikia wananchi wengi zaidi wanaofanya shughuli zao katika sekta isiyo rasmi. Hatua hizi zinaonekana kuwa muhimu katika kuhakikisha kuwa Watanzania wengi wanapata fursa ya kushiriki kikamilifu katika shughuli za kiuchumi na kunufaika na … The post Uwezeshaji wa rasilimali unavyoongeza ujumuishaji wa kifedha first appeared on HabariLeo .