Watanzania watakiwa kuchangamkia fursa EACLC

DAR ES SALAAM : WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo amewataka Watanzania kujitokeza kwa wingi kufanya uwekezaji katika kituo cha kimataifa cha biashara (EACLC) iliyopo jijini Dar es Salaam ili kukuza uchumi wa nchi. Akizungumza wakati wa futari iliyowahusisha viongozi wa dini na wananchi mbalimbali iliyoandaliwa na Ofisi ya … The post Watanzania watakiwa kuchangamkia fursa EACLC first appeared on HabariLeo .