Baba mbaroni akidaiwa kuwabaka watoto wake, mama asimulia ilivyokuwa

Yasini Ramadhan (38), dereva bodaboda na mkazi wa Sakina jijini Arusha, anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kuwabaka watoto wake wawili.