Futari maalum, ikiwa ni sehemu ya kushiriki baraka za mwezi mtukufu wa Ramadhani pamoja na kuimarisha mahusiano na wadau wake katika visiwa hivyo. Hafla hiyo ilihudhuriwa na viongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, viongozi wa dini, wateja na wadau mbalimbali wa maendeleo, na ilikuwa fursa ya kukutana, kubadilishana mawazo na kutafakari maadili ya mshikamano …