WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais–Mipango na Uwekezaji, Kitila Mkumbo, amewataka Watanzania kujitokeza kwa wingi kuwekeza na kufanya biashara katika Kituo cha Kimataifa cha Biashara cha Afrika Mashariki (EACLC) kilichopo Dar es Salaam ili kuchochea ukuaji wa uchumi wa taifa. The post Watanzania wahimizwa kutumia fursa za biashara EACLC first appeared on HabariLeo .