KIGOMA; Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Balozi Simon Sirro amesema mkoa huo utatumia nafasi yake ya kuwa mkoa wa kimkakati kama lango la biashara ya kikanda nchi za maziwa makuu kutekeleza dhamira ya serikali ya kujenga uchumi imara na wenye ushindani unaochochewa na uwekezaji wa sekta binafsi. Balozi Sirro amesema hayo katika mkutano na viongozi … The post Wadau wakutana kujadili biashara, uchumi Kigoma first appeared on HabariLeo .