SHIRIKA la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limezindua rasmi huduma mpya ya intaneti yenye kasi kubwa ijulikanayo ‘TTCL Faiba Supersonic Experience, Kasi Balaa’, hatua inayolenga kuharakisha mageuzi ya kidijitali na kuwapa Watanzania huduma bora zaidi za mawasiliano. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa huduma hiyo, Mkurugenzi wa Biashara TTCL, Vedastus Mwita amesema kuwa huduma hiyo mpya ya Faiba …