Wakili wa Serikali, Cathbert Mbiling'i, ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo, Jumatatu, Machi 16, 2026, wakati akiwasomea hoja za awali (PH) washtakiwa hao.