Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limewakamata watu watatu wakiwa na vipande 12 vya meno ya tembo, ngozi 5 za myama aina ya swala, na watu wengine wawili kwa matumizi mabaya ya silaha za moto. Tukio la awali limetokea Machi 14, 2026, katika kitongoji cha Mambomsije Darajani, kijiji cha Mlandizi, kata ya Mangae, Wilaya ya …