Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ameeleza dhamira ya Serikali chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ni kuhakikisha watanzania hususan vijana, wanapata makazi bora na ya gharama nafuu kupitia miradi mbalimbali inayoendelea kutekelezwa na Serikali kupitia Wakala wa Majengo (TBA). Ulega ameyasema hayo jijini Dar es Salaam mbele ya Kamati ya Kudumu ya …