Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amesema kukamilika kwa ujenzi wa Daraja la Mkuyuni mkoani Mwanza tayari kumeanza kuonyesha matunda katika siku zake za awali. Akizungumza na wananchi mara baada ya ukaguzi wa daraja hilo leo Machi 16, 2026, Ulega alisema wakazi wa Mwanza ni mashahidi wa hali hiyo hasa kufuatia matukio ya karibuni ya mvua …