Ulega aeleza jinsi Daraja la Mkuyuni lilivyonusuru watu

Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amesema kukamilika kwa ujenzi wa Daraja la Mkuyuni mkoani Mwanza, tayari kumeanza kuonyesha matunda katika siku zake za awali.