BILIONI 5 ZA DARAJA LA MKUYUNI ZAANZA KUZAA MATUNDA; ULEGA AKAMILISHA AGIZO LA PM MWIGULU

Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amesema kukamilika kwa ujenzi wa Daraja la Mkuyuni mkoani Mwanza tayari kumeanza kuonesha matunda katika siku zake za awali. Akizungumza na wananchi mara baada ya ukaguzi wa daraja hilo leo, Ulega amesema wakazi wa Mwanza ni mashahidi wa hali hiyo hasa kufuatia matukio ya karibuni ya mvua kubwa zilizonyesha ambapo […] The post BILIONI 5 ZA DARAJA LA MKUYUNI ZAANZA KUZAA MATUNDA; ULEGA AKAMILISHA AGIZO LA PM MWIGULU appeared first on Jambo TV Online .