Serikali yatakiwa kutenga fedha za ukarabati wa majengo kila mwaka
Serikali imetakiwa kuweka utaratibu thabiti na wa kitaalamu wa kufanya ukarabati wa majengo ya taasisi za elimu kila mwaka ili kulinda uwekezaji mkubwa unaofanywa katika miradi ya maendeleo.