Hofu yatanda Hormuz ikifungwa, Marekani yaita washirika kuifungua

Wito wa Trump unakuja wakati vita kati ya Israel, anayeshirikiana na Marekani, dhidi ya Iran ikiingia wiki ya tatu na kusababisha misukosuko katika Mashariki ya Kati pamoja na kuyumbisha masoko ya nishati duniani.