Kairuki ataka ulinzi nyanzo vya maji

MOROGORO: WAZIRI wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Angellah Kairuki amesema bila majisafi na salama jamii haiwezi kustawi, uchumi hauwezi kukua na mazingira hayawezi kuendelea. Kufuatia umuhimu huo jamii inalo jukumu kubwa la utayari kwa kila mmoja kuhakisha nawajibika kulinda vyanzo vya maji na uhifadhi mazingira. Waziri Kairuki alitoa wito huo mjini Morogoro kwenye ufunguzi … The post Kairuki ataka ulinzi nyanzo vya maji first appeared on HabariLeo .