DAR ES SALAAM: Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere kimeboresha mifumo ya Tehama ambayo itasaidia kufundisha kwa njia ya mtandao ndani na nje ya chuo. Akizungumza leo Machi 16, jijini Dar es Salaam, Mkuu wa Chuo, Prof. Haruni Mapesa amesema wameboresha mifumo yote ambapo kupitia mfumo wa ‘smart board’ wanafunzi watajifunza bila ya kuonana na … The post Chuo cha Nyerere chajivunia mifumo bora Tehama first appeared on HabariLeo .