Japan, Australia zakataa wito wa Trump kutuma meli za kivita Iran

TOKYO, Japan WITO wa Rais wa Amerika Donald Trump kwa mataifa rafiki kusaidia kufungua Mkondo wa Hormuz kufanikisha usafirishaji wa mafuta ulikataliwa jana baada ya Japan na Australia kusema hazitatuma meli za kivita kusindikiza meli zinazosafirisha bidhaa hiyo kupitia mkondo huo. Mnamo Jumapili, Trump aliyataka mataifa washirika wa Amerika yanayotegemea mafuta kutoka eneo hilo la […]