Airtel Tanzania Jumatatu iliandaa hafla maalumu ya Iftari ya Ramadan jijini Dar es Salaam, ikiwakutanisha viongozi wa serikali, wateja, wadau na wanahabari katika hali ya umoja, tafakari na shukrani wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadan. Hafla hiyo ilihudhuriwa na Waziri wa Fedha, Khamis Mussa Omar, pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania, Charles Kamoto, na […] The post AIRTEL TANZANIA NA DHAMIRA YAKE YA KUUNGANISHA NA KUKUZA UJUMUISHAJI WA KIFEDHA WAKATI WA IFTARI YA RAMADAN appeared first on Jambo TV Online .