Papa Leo kufanya ziara nchi nne za Afrika

Ziara hiyo inafuatia safari yake ya mwaka 2025 katika Mashariki ya Kati alipokwenda Uturuki na Lebanon, huku safari nyingine ya Ulaya ikitarajiwa kufanyika Machi 28 mwaka huu katika Monaco.