Wakati juhudi za kukabiliana na uchafuzi wa mazingira katika vyanzo vya maji zikiendelea kuelekezwa zaidi kwenye taka za plastiki, wataalamu wa mazingira wameibua tishio jipya la uchafuzi wa Ziwa Victoria linalotokana na nguo na nyavu zilizokwisha muda wake wa matumizi kutupwa ziwani. Akizungumza na Jambo TV wakati wa zoezi la kusafisha na kuondoa taka katika […] The post NGUO, NYAVU ZILIZOISHA MUDA WAKE JANGA JIPYA ZIWA VICTORIA appeared first on Jambo TV Online .