MBUNGE KOROGWE MJINI ATOA RAI YA KUIMARISHA UMOJA KATIKA MWEZI WA RAMADHANI NA KWARESMA

Mbunge wa Jimbo la Korogwe Mjini, CPA Charles, ametoa rai kwa jamii pamoja na viongozi wa Wilaya ya Korogwe kutumia kipindi cha mwezi mtukufu wa Ramadhani na Kwaresma kutatua changamoto mbalimbali zinazoikabili jamii, ili kuimarisha umoja na kuleta maendeleo kwa wananchi. Mbunge huyo ameyasema hayo wakati wa hafla ya Iftari iliyowakutanisha makundi mbalimbali ya jamii, […] The post MBUNGE KOROGWE MJINI ATOA RAI YA KUIMARISHA UMOJA KATIKA MWEZI WA RAMADHANI NA KWARESMA appeared first on Jambo TV Online .