Ruangwa yaendelea kunufaika na misitu

LINDI: VIJIJI vya Halmashauri  ya Wilaya ya Ruangwa, mkoani Lindi vinaendelea kunufaika na rasilimali za misitu kwa kujipatia mapato ambayo yanachangia  katika ujenzi wa shule za msingi, nyumba za walimu, zahanati na maghala ya kuhifadhi mazao. Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo, Solomon Massangya amesema hayo katika wiki ya maadhimisho ya Siku ya Misitu Duniani … The post Ruangwa yaendelea kunufaika na misitu first appeared on HabariLeo .