Serikali ya Tanzania imeendelea kuimarisha juhudi za kukuza utafiti na ubunifu katika sekta ya afya ili kukabiliana na changamoto za ongezeko la magonjwa yasiyoambukiza (NCDs) pamoja na magonjwa ya kuambukiza. Mganga Mkuu wa Serikali Dkt. Grace Magembe amesema hayo leo Machi 16, 2026 jijini London wakati akiwasilisha taarifa ya uimarishaji wa mifumo ya afya kwa …