TMB: Mahitaji ya nyama soko la nje ni makubwa kuliko uwezo wa uzalishaji hapa nchini

Mahitaji ya nyama katika soko la nje ni makubwa kuliko uwezo wa uzalishaji hapa nchini. Taarifa ya Msajili wa Bodi ya Nyama Tanzania, Tanzania Meat Board (TMB) Dkt. Daniel Mushi inasema masoko mengi ya nyama ya ng’ombe, mbuzi na kondoo yapo katika nchi za Mashariki ya Kati. Ametaja masoko ambayo Tanzania inayo kwa sasa kuwa …