Serikali imeanza utekelezaji wa mradi wa Uboreshaji Miundombinu ya Miji Tanzania (TACTIC) unaolenga kukuza uchumi na kuboresha maisha ya wananchi katika Manispaa ya Lindi mkoani Lindi. Hayo yameelezwa na Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Lindi Dkt. Stanford Mwakatage ambapo amesema kuwa kwa upande wa miundombinu ya barabara, kilomita 5.3 zitajengwa kwa kiwango cha lami ambapo …