DODOMA: WAZIRI wa Katiba na Sheria, Dk Juma Homera amezindua programu ya Sema na Waziri huku akisisitiza kuwa suala la Katiba Mpya bado ni miongoni mwa vipaumbele vikuu vya serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan. Aidha, wamewataka wananchi kuwa na subira hadi hapo michakato miwili muhimu ya Tume ya Uchunguzi wa vurungu za Oktoba 29 na … The post Homera aja na ‘Sema na Waziri’, asisitiza Katiba kipaumbele first appeared on HabariLeo .