Ramadan ni wakati wa tafakari, kujitolea na mshikamano

Katika hafla maalumu ya Iftari ya Ramadan jijini Dar es Salaam, ikiwakutanisha viongozi wa serikali, wateja, wadau na wanahabari katika hali ya umoja, tafakari na shukrani wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadan. Hafla hiyo ilihudhuriwa na Waziri wa Fedha na Mipango, Khamis Mussa Omar, pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania, Charles Kamoto, na wageni …