Serikali kuifanya Tanzania kitovu cha biashara: Dk. Yonazi

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge,Uratibu na Wenye Ulemavu Dkt. Jim Yonazi amesema Serikali imefanya juhudi mbalimbali za Kisera, Sheria na Kimkakati ili kuhakikisha Tanzania inakuwa kitovu cha biashara Afrika Mashariki na Kati. Dkt. Yonazi aliyasema hayo katika kikao cha Kikundi Kazi cha Mazingira ya Biashara cha Baraza la Taifa la Biashara TNBC …