KIGOMA; MKUU wa mkoa Kigoma Balozi Simon Sirro amesema kupatikana umeme wa uhakika mkoani Kigoma ni kichocheo cha utekelezaji wa mpango mkakati wa serikali kuufanya mkoa huo kuwa wa kimkakati kwa uchumi na biashara. Balozi Sirro alisema hayo akikabidhi magari matano, bajaji tatu na pikipiki nne kwa uongozi wa Shirika la Umeme (TANESCO) Mkoa Kigoma, … The post RC Kigoma ataka umeme utekeleze diplomasia ya uchumi first appeared on HabariLeo .