KATAVI: Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamad Hassan Chande amewataka w Watanzania kushirikiana na taasisi za uhifadhi nchini katika uhifadhi wa misitu kuongeza chachu ya maendeleo endelevu kupitia misitu iliyopo hapa nchini. Kauli hiyo inakuja wakati Tanzania ikijiandaa kuadhimisha Siku ya Misitu Duniani. Chande amebainisha hayo Mkoani Katavi katika mkutano wa hadhara ikiwa ni … The post Chande ataka ushirikiano uhifadhi misitu first appeared on HabariLeo .