Mchechu asifu mafanikio kuongezeka uwekezaji

ARUSHA; MSAJILI wa Hazina, Nehemiah Mchechu amesema kuwa katika miaka mitano iliyopita uwekezaji wa serikali katika kampuni  umeongezeka kutoka Sh bilioni 821 hadi kufikia Sh trilioni 3.6, huku gawio likiongezeka kwa asilimia 357 kutoka Sh bilioni 58 hadi Sh bilioni 266. Mchechu amesema hayo Jijini Arusha kwenye mkutano wa wakurugenzi wa kampuni zenye hisa ndogo … The post Mchechu asifu mafanikio kuongezeka uwekezaji first appeared on HabariLeo .