Kamati yatoa maelekezo miradi iliyokwama

KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii, imeitaka Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wanawake na Makundi Maalumu kuunga mkono kwa kutoa fedha ili kukamilisha miradi inayoendelea kutekelezwa katika Taasisi ya Ustawi wa Jamii (ISW) ikiwemo mradi wa ujenzi wa ukumbi. Akizungumza wakati kamati hiyo ilipotembelea taasisi hiyo leo jijini Dar … The post Kamati yatoa maelekezo miradi iliyokwama first appeared on HabariLeo .