DAR ES SALAAM: MRADI wa ujenzi wa jengo la kitega uchumi la Mzizima Towers unaotekelezwa na Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) umefikia asilimia 91 ya utekelezaji na unatarajiwa kukamilika rasmi ifikapo Desemba 31, 2026. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira na Mahusiano,Deus Sangu alieleza hayo Machi 16,2025 Dar es … The post Mradi Mzizima Tower wafikia asilimia 91 first appeared on HabariLeo .