Ndejembi: Serikali inapambana kuondoa vikwazo matumizi ya nishati safi ya kupikia
Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi amesema Serikali inaendelea kushughulikia changamoto za miundombinu zinazokwamisha usambazaji na matumizi ya nishati safi ya kupikia, hasa vijijini na pembezoni mwa miji.