SHINYANGA: WATOTO wenye umri wa kuanzia miaka 0 hadi 10 mkoani Shinyanga wanatarajiwa kupatiwa chanjo ya Polio ili kuwazuia kupata virusi vya ugonjwa huo nakuweza kuwaepusha na ulemavu wa kudumu au vifo. Hayo yamesemwa leo na Mganga Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Dk Yudas Ndungile alipokuwa akifungua kikao na waandishi wa habari huku akieleza kampeni … The post Watoto kupewa chanjo ya polio Shinyanga first appeared on HabariLeo .