TUMEONDOA VAT KATIKA UAGIZAJI WA MITUNGI YA GESI – MHE. NDEJEMBI

Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius Ndejembi amesema kuwa Serikali imeondoa Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) kwenye uagizaji wa mitungi ya gesi (LPG), mitungi mikubwa ya gesi (LPG bulk facility) pamoja na carbonizers za kutengeneza mkaa mbadala ikiwa ni sehemu ya jitihada zinazofanywa na Serikali kupunguza bei na kurahisisha upatikanaji wa nishati safi ya […] The post TUMEONDOA VAT KATIKA UAGIZAJI WA MITUNGI YA GESI – MHE. NDEJEMBI appeared first on Jambo TV Online .