Bajeti barabara MUHAS kutua bungeni, kamati yatoa maagizo

DAR ES SALAAM: KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo imeahidi kuwasilisha bungeni suala la ujenzi wa barabara zinazoingia na kutoka Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) Kampasi ya Mloganzila ili itengwe bajeti maalumu kuboresha miundombinu hiyo. Pia kamati imekiagiza chuo hicho kuhakikisha majengo mapya ya tiba yanayoendelea kujengwa … The post Bajeti barabara MUHAS kutua bungeni, kamati yatoa maagizo first appeared on HabariLeo .