WANAWAKE WA KIKUNDI CHA WASIKIVU WAWEZESHWA NA TASAF ILI KUINUA UCHUMI WAO

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete akizungumza mara baada ya kuwasili kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria iliyolenga kukagua utekelezaji wa mradi wa Kiwanda cha kutengeneza Siagi kinachomilikiwa na kikundi cha Wasikivu TASAF kilichopo Mtaa wa Igombe, Halmashauri ya […] The post WANAWAKE WA KIKUNDI CHA WASIKIVU WAWEZESHWA NA TASAF ILI KUINUA UCHUMI WAO appeared first on Jambo TV Online .