Bodi ya Stakabadhi za Ghala ni taasisi iliyochini ya Wizara ya Viwanda na Biashara. Kazi ya taasisi hiyo ni kusimamia na kuhamasisha matumizi ya mfumo wa stakabadhi ghalani unaohakikisha usawa na uendelevu wa upatikanaji wa mikopo na mifumo ya masoko. David Sukali ni Mkuu wa Kitengo cha Ununuzi kutoka Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za …