Aliyemuua mwanawe akitaka utajiri ahukumiwa kunyongwa

Kwa mujibu wa ushahidi wa shahidi wa kwanza upande wa Jamhuri, mshtakiwa ambaye ni baba mzazi wa mtoto huyo, alimchukua mtoto kutoka kwa mama yake kama ilivyokuwa desturi, akiahidi kumrudisha siku ya Jumapili.