Utoro kazini na ubadhirifu wa mali za umma bado vinatajwa kuwa sababu kuu zinazopelekea migogoro na hatimaye watumishi wa umma kufukuzwa kazi.