Serikali kupitia mapenddekezo 284 ya kodi

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais Dk. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali itayafanyia uchambuzi wa kina mapendekezo 284 ya maboresho ya mifumo ya kodi nchini kabla ya kuanza utekelezaji wake. The post Serikali kupitia mapenddekezo 284 ya kodi first appeared on HabariLeo .