Namna ya kuzuia maji yasijae barabarani wakati wa mvua, athari zake
Katika siku za hivi karibuni Mkoa wa Dar es Salaam umekuwa miongoni wa inayopata mvua za mara kwa mara, maji kujaa barabarani na kuleta usumbufu kwa watumiaji imekuwa ni matokeo hasi yanayoshuhudiwa.